Haa HaaMh! Hii nembo ya kampeni imebuniwa lini!
Wanasheria watusaidie kuhusu udhalilishaji huu!na Hii suala la Prof Muhongo Mbunge kupitIa CCM
Kumtolea maneno ya Kashifa Bi Pili, Diwani katika kikao cha Halmashauri
Na kumsema Bi Pili kua ni Malaya, anatembea na wanaume ovyoo, japo ameolewa ila amezalishwa na Dreva wake ( muhongo)
Kwamba aliamua kumfukuza Dreva wake sababu amezaa na mke wa mtu, hivo Pili aache umalaya malaya.
Na Anamtukana pasipo uwepo wa Pili, naanamtukana mbele ya Madiwani ..
Hilo limekaaje?
Prof Muhongo ni mtu wa hovyo sanaa na aliyejaa dharau.Wanasheria watusaidie kuhusu udhalilishaji huu!
Petro E. Mselewa
Nikisikia MTU diwani. Kuna picha huwa naipata sio nzuri sanaProf Muhongo ni mtu wa hovyo sanaa na aliyejaa dharau .
Jamaa anayesema hayo, huku akijua Bi Pili ( Diwani) yupo ndani ya ndoa na Mumewe ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyohiyo.
Aliulizwa kwanna ivo?? Anawambia, Waende popote.
Hiyo ni pure defamation. Kinachotakiwa hapo ni kufungua shauri la udhalilishaji mahakamani tuWanasheria watusaidie kuhusu udhalilishaji huu!
Petro E. Mselewa
Wote hawajielewiHuyo Kalugendo naye ni kiazi. Afisa Elimu nzima unawekwa ndani na DC kisa kuchelewa kikao? Watumishi wa umma mtaondoka lini katika utumwa na ukondoo?
Duh!na Hii suala la Prof Muhongo Mbunge kupitIa CCM