ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,355
- 4,260
Tanga kuna nguvu ipi kiuchumi?Idadi ya watu ndio jambo la kwanza na pili Nguvu ya Uchumi/Mapato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga kuna nguvu ipi kiuchumi?Idadi ya watu ndio jambo la kwanza na pili Nguvu ya Uchumi/Mapato
Tanga kuna nguvu ipi kiuchumi?
Umeiacha wapi Eldoret?Nairobi, Mombasa and Kisumu and the newly incorporated city of Nakuru are the four cities in Kenya;
Aisee! Ridiculous!Idadi ya watu ndio jambo la kwanza na pili Nguvu ya Uchumi/Mapato
Iringa bado ni mji mdogo mno hata wakiongeza maeneo ya pembezon iringa bado haina fursa zinazo vuta population kama viwanda na biashara pia jiografia inabana mji kusambaa milima ni ya kutosha ndo maana hata ukiangalia matokeo ya sensa utaona iringa ONGEZEKO la WATU ni dogo mnoAfadhari ameshituka ,yaani Moro iwe jiji kabla ya iringa inawezekanaje
Ijitenge ili iende wapi ?Kahama inatakiwa ijitenge na Shinyanga ijitegemee iwe mkoa maana kahama inaibeba sana Shinyanga lakini SHY haibebeki
RwandaIjitenge ili iende wapi ?