Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka.
Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka.
Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka.
Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri, tena wa Mambo ya Ndani.
Rais Nelson Mandela wa Afrika Kusini, aliwahi kumpa kabisa Urais wa muda mpinzani wake Mkuu, Chief Mongaasuthu Buthelezi.
Mzee Buthelezi akapoa.
Nasi tumjaribu mtanzania huyu,Freeman Mbowe, ambaye atakuwa pia waziri wa Mapolisi.