Raise Samia 2030 msishangae,labda mwanamke atakuwa CDF.
I don't see anything funny about this joke.
Dini zote zinakataza uongozi wa mwanamke katika ngazi za juu.
Hapa inatokea taharuki sana kiongozi akitukanwa.
Watu wanateswa mateso yasiyotamkika kiongozi akitukanwa.
Wananchi walio wengi hawana tabia ya kutukana viongozi,na kwa hili wanastahili pongezi.
Lakini utawaona hawa watu hawamtukani rais,hawamtukani waziri( isopokuwa yule jamaa wa jana Bagamoyo),hawamtukani mkuu wa mkoa,hawamtukani mkuu wa wilaya,hawamtukani diwani,hawamtukani kiongozi wa dini.
Lakini wanazitukana nafsi zao.
Quraan inaongea sana kuhusu watu wanaozidhilumu nafsi zao.
Kwa hiyo kila lazima aheshimu mamlaka. Imeandikwa katika Biblia.
Katika Biblia hiyo hiyo imeandikwa viongozi wajiheshimu.
Kwa sababu itakuwa ni kufuru kumtesa mtu aliyemtukana kiongozi kama viongozi hawajiheshimu.