Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

haijawahi kutokea ulimwenguni... hata hapa Tanzania hilo sidhani...! kama litawezekana
 
majanga ya kiasili hayanaga wa kulaumiwa 🐒
Yani miundombinu ya jangwani unaiita ni majanga ya asili?. Na jum za Ubungo na Tazara wangeziacha ziitwe janga la asili basi.

Pale panatibika kabisa, ila wameamua nguvu wazielekeze kwenye mambo ya kipambe....
 
Sijawah kusikia mwanajeshi mwanamke kauwawa vitani,

Wote ambao nawaona na kuwasikia ni wanaume tu

Hivi wanawake huwa hawaendagi huko kupigana ??
Kama huyu utampeleka kwenye uwanja wa mapambano? Mtashinda hiyo vita? 😳😳😳

downloadfile-191.jpg
 
Sijui alikua amekula mchuzi wa maharage ya wape daah ila huyu Bibiye kutoka KIZI.. Anazingua kinoma😒😒😠😠
 
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Haya. Huyu mtu boya kwelikweli.
Huo ndio ujumbe maalum na muhimu aliojiandaa kulieleza taifa wakati wa sherehe kama hii?

Kweli hakuna mambo muhimu zaidi yanayohusu Muungano huu yanayohitaji kuzungumziwa na kutiliwa mkazo na Rais wa nchi?

Angetueleza tu, kwamba Muungano umeimarika sana tokea ashike madaraka ya nchi, na kutolea mifano kadhaa; kama vile yeye kuwa Rais wa kwanza mwenye jinsia ya kike,; jinsi anavyo pambana kuimarisha Muungano kwa kuifanya Zanzibar iwe na madaraka makubwa zaidi ndani ya Muungano, n.k, n.k.

Haya ya CDF mwanamke yatamshangaza nani, iwapo tayari tumekwisha shangazwa na mtu asiye na uwezo wa kuongoza nchi, akiwa mwanamke tayari tunaye? Tutashanga kipi kwa huyo mwingine mwenye cheo cha chini zaidi!
 
CDFs are usually elite officers from the Generals' Staff who have atleast a cadet degree in military science.

The TPDF is not a VICOBA where every Aisha and Mwajuma can just go about and do what they do best, RUN THEIR MOUTHS.

This is sacrilege.​
EEEeeHeeeee. You ain't seen nothing yet!
This Tanzania is turning into a banana republic per excellence!
 
Yani miundombinu ya jangwani unaiita ni majanga ya asili?. Na jum za Ubungo na Tazara wangeziacha ziitwe janga la asili basi.

Pale panatibika kabisa, ila wameamua nguvu wazielekeze kwenye mambo ya kipambe....
pale Tehran, UAE, Malawi, Burundi, pale kwenye maporimoko ya hanang na kule mbeya, rufiji, arusha, Morogoro n.k pia nadhan walielekeza nguvu kwenye mambo mengine 🐒
 
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Mimi ninachokijua tu ni kwamba Nguvu ya Mwanamke ipo katika Kushika Mimba, Kuzaa na Kulea na siyo huku Kwingineko.
 
Naomba kujulishwa. Hivi CDF na AmirI Jeshi Mkuu Nani Mkuu.
 
Back
Top Bottom