Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Kama raisi na spika wanawake huyo cdf mwanamke atafanya maajabu gani

Imeonekana tatizo kwa sasa ni gender na sio kitu kingine

I suggest awe CDF wa wakike, rais wakike, spika wa kike na Jaji mkuu awe wakike, DG TISS awe wa kike, kamanda wa polisi wakike huenda nchi itabadilika
 
CDFs are usually elite officers from the Generals' Staff who have atleast a cadet degree in military science.

The TPDF is not a VICOBA where every Aisha and Mwajuma can just go about and do what they do best, RUN THEIR MOUTHS.

This is sacrilege.​

Rais ni mwanamke , ndio kamanda you n chief

Why not CDF ?
 
CDFs are usually elite officers from the Generals' Staff who have atleast a cadet degree in military science.

The TPDF is not a VICOBA where every Aisha and Mwajuma can just go about and do what they do best, RUN THEIR MOUTHS.

This is sacrilege.​
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Amri jesh mkuu asiyejua hata abcz za kijeshi, kwa kuanzia tu, je tu Luten Gen mwanamke??? Au katika historia tu, tushawah hata kuwa na head wa jkt mwanamke? Au tushawahi kuwa chief of staff mwanamke?? Au tushawahi kuwa na chief wa Millitary intelligence mwanamke?? Au tushawah hata kuwa na head of Airwing mwanamke? Tushawah kuwa hata na Brigedia general mwanamke??? Tumeshawa hata kuwa na commando mwanamke???

Sasa yeye atamtoa wapi huyu bi kidude?
Maana hizo ndio posts ambazo angalau unaweza kuzimulika kumpata cdf, na mpaka ufike kwenye hizo sensitive posts lazima uwe ume fuzu hasa?
Sio Brigedia, ni hadi major alikuwepo, Zawadi Madawili.
 
Kama vitani tu hawapelekwi front, hiyo maana yake hawajakamilika kimajukumu ya kijeshi. Waishie huko huko kwenye bendera.
Nani kakwambia jeshini ni front tu? Mbona wapo mapilot wa jeshi wanawake? By the way uongozi wa jeshi ni administrative and strategy sio frontline. Vita zimebadilika, hazipiganwi kwa mikono ila technology so women with bright minds have more to offer now than ever.
 
Wanawake wenyewe jeshini wa kuhesabu, hawaendi kwenye uwanja wa mapambano wapo kwa ajiri ya molali tu
Ndio Mama Samia anataka kufuta hilo, jiandaeni kwa mabadiliko. Wanawake ndio wengi nchi hii wala sio tatizo wakipewa uongozi maana hawawezi kuwa worse than whatever men wametawala nchi hii kwa miaka 60 na bado imejaa ufisadi na umaskini
 
Back
Top Bottom