Amri jesh mkuu asiyejua hata abcz za kijeshi, kwa kuanzia tu, je tu Luten Gen mwanamke??? Au katika historia tu, tushawah hata kuwa na head wa jkt mwanamke? Au tushawahi kuwa chief of staff mwanamke?? Au tushawahi kuwa na chief wa Millitary intelligence mwanamke?? Au tushawah hata kuwa na head of Airwing mwanamke? Tushawah kuwa hata na Brigedia general mwanamke??? Tumeshawa hata kuwa na commando mwanamke???
Sasa yeye atamtoa wapi huyu bi kidude?
Maana hizo ndio posts ambazo angalau unaweza kuzimulika kumpata cdf, na mpaka ufike kwenye hizo sensitive posts lazima uwe ume fuzu hasa?