Rais Samia: Msingi wa uongozi ni kutumikia wale unaowaongoza, Kafuateni sheria na miongozo ya serikali, mfanye kazi za wananchi

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
Nawasalimia kwa jina la JMT,

Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,

Tatizo kubwa aliyewateua kafa kwako hawana hofu,

Halmashauri nyingi pesa inapigwa sana,

Pitia vizuri wateule wako wote nchi nzima kisha fanya mabadiliko makubwa,

Zamani ilikuwa kila dk Magufuli siku hizi hutajwi watu wanapiga pesa tu
 
Nawasalimia kwa jina la JMT,

Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,

Kwani hizo sheria si zipo miaka mingi? Au hao wanaostahili kuzifuata ndio wakorofi? Mie nadhani TZ tumekuwa na maneno mengi sana ya kukumbushana kama vile tupo badi kwenye orientation. Kwanini kila siku tunaongea vitu vilevile, lini tutaanza kupima utendaji wa kufikia malengo tuliyojipangia KPIs?

Kama watu hawawajibiki si watoke wekeni wengine? Nadhani na Viongozi tubadilike jamani, inachosha.
 
Nasikia MADED wanakula watumishi wote wazuri,

Hii ni balaa
 
Kuna watu wataliwa vichwa soon stay tuned, Leo mama mpaka anapost hotuba yake ni balaa,
 
Hapo kaongea nini Mwanamke hakemei hawezi kuheshimika kamwe, apende asipende anaishia 2025. Atunishe account zake za benki basi.
 
Back
Top Bottom