Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Kwani hizo sheria si zipo miaka mingi? Au hao wanaostahili kuzifuata ndio wakorofi? Mie nadhani TZ tumekuwa na maneno mengi sana ya kukumbushana kama vile tupo badi kwenye orientation. Kwanini kila siku tunaongea vitu vilevile, lini tutaanza kupima utendaji wa kufikia malengo tuliyojipangia KPIs?Nawasalimia kwa jina la JMT,
Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
Nasikia MADED wanakula watumishi wote wazuri,Kwani hizo sheria si zipo miaka mingi? Au hao wanaostahili kuzifuata ndio wakorofi? Mie nadhani TZ tumekuwa na maneno mengi sana ya kukumbushana kama vile tupo badi kwenye orientation. Kwanini kila siku tunaongea vitu vilevile, lini tutaanza kupima utendaji wa kufikia malengo tuliyojipangia KPIs?
Kama watu hawawajibiki si watoke wekeni wengine? Nadhani na Viongozi tubadilike jamani, inachosha.
Nawasalimia kwa jina la JMT,
Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
Hotuba nzuri sana hii, Viongozi acheni malumbano msaidieni mama,Nawasalimia kwa jina la JMT,
Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
safi sana mama tuko na weweNawasalimia kwa jina la JMT,
Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,