Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Rais samia kweli ni mtetezi wa wanyonge na msikivu kweli kweli baada ya kusikia kilio kwa vyama vya upinzani ameamua yaishe na kuamua kuwaagiza wagombea wa upinzani waliokatwa mara moja warudishwe kwenye uchaguzi ili wachinjwe na wananchi wenyewe kwa Rais huyu wapinzani hamtaambulia chochote kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi wa Rais,madiwani na wabunge
Comred Rais samia suluhu Hassan tuvushe
Comred Rais samia suluhu Hassan tuvushe