Rais Samia mteue Dr. Bashiru Ally Kakurwa akatuwakilishe kama balozi nchini Cuba

Rais Samia mteue Dr. Bashiru Ally Kakurwa akatuwakilishe kama balozi nchini Cuba

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Mh. Tafadhali mpeleke Dr Bashiru Cuba kabla hujatangaza kupumzika na kumwachia mwanachama mwingine kugombea urais mwaka huu.

Asante kwa kuelewa, wasalimie sana hapo ikulu.
 
Cuba safari hii panaogopeka maana unaweza kumpeleka kamanda muriro kuwa balozi anaweza kutaja watekaji wote.
 
Mmh! Mbona Bashiru naye kama anatupwa mbali? Ndiyo Yale yale ya Polepole. Anatengwa huyu bila kujijua. Kwann asimteue Abdul?
 
Back
Top Bottom