Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,771 Reaction score 10,311 Aug 23, 2025 #1 Mh. Tafadhali mpeleke Dr Bashiru Cuba kabla hujatangaza kupumzika na kumwachia mwanachama mwingine kugombea urais mwaka huu. Asante kwa kuelewa, wasalimie sana hapo ikulu.
Mh. Tafadhali mpeleke Dr Bashiru Cuba kabla hujatangaza kupumzika na kumwachia mwanachama mwingine kugombea urais mwaka huu. Asante kwa kuelewa, wasalimie sana hapo ikulu.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Aug 23, 2025 #2 Cuba safari hii panaogopeka maana unaweza kumpeleka kamanda muriro kuwa balozi anaweza kutaja watekaji wote.
Cuba safari hii panaogopeka maana unaweza kumpeleka kamanda muriro kuwa balozi anaweza kutaja watekaji wote.
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,312 Aug 23, 2025 #3 arudi udsm chaki yake bado iko ubaoni
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 Aug 23, 2025 #4 Hawezi kufanya kazi na wahuni.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,772 Reaction score 15,651 Aug 23, 2025 #5 FUSO said: Hawezi kufanya kazi na wahuni. Click to expand... CCM wote wahuni.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Aug 23, 2025 #6 Mmh! Mbona Bashiru naye kama anatupwa mbali? Ndiyo Yale yale ya Polepole. Anatengwa huyu bila kujijua. Kwann asimteue Abdul?
Mmh! Mbona Bashiru naye kama anatupwa mbali? Ndiyo Yale yale ya Polepole. Anatengwa huyu bila kujijua. Kwann asimteue Abdul?