Mimi nimependekeza yaliyobaki hayanihusuHuyu mama ni jembe la watanzania lisilotumika. Sidhani kama CCM ya wana iyena iyena itataka watu kama hawa. Bahati mbaya sana. Profile yake tamm sana. Hii ni mbegu bora sana kama kina Salim Ahmed Salim, Dr Mahiga, Amb Nyakhi, huyu jamaa MD wa TPDC...Hongera sana mama.
Umeamua kujitetea mwenyewe?Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016
Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.
Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.
Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri
Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia wata2nzania wenzao.
Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba
Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.
CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA
Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.
She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.
Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.
This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.
Huyu most likely ni mtoto wa NWO kama ulivyo wewe, kwa hiyo tutakuwa tunajiingiza kwenye mdomo wa Simba.Kwanza institutions ambazo amefanyia kazi tells it all.Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016
Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.
Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.
Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri
Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia wata2nzania wenzao.
Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba
Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.
CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA
Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.
She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.
Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.
This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.
Ninyi si mna signs zenu, labda through signs alipokuwa anahojiwa umeshajua ni ndugu yako, who knows.Mimi siyo huyo mama tafadhali hajanituma na sijawahi hata onana naye wala hanijui
Ni mchaga mtanzania mia kwa mia ila baba yake asili yake uswisiHuyu most likely ni mtoto wa NWO, kwa hiyo tutakuwa tunajiingiza kwenye mdomo wa Simba.Halafu hilo jina mbona linatia wasi wasi, is he a native African?
Ushirikina, fear for unknown that has no proofHuyu most likely ni mtoto wa NWO kama ulivyo wewe, kwa hiyo tutakuwa tunajiingiza kwenye mdomo wa Simba.Kwanza institutions ambazo amefanyia kazi tells it all.
Halafuu, hilo jina mbona linatia wasi wasi, is he a native African?
Kujihami ni muhimu sana.Huwezi kujiingiza mahali kichwa kichwa.Unajua allegiance yake iko wapi, Europe au Africa.Tuko almost 60m people in Tanzania, so pool ni kubwa hatuwezi kukosa mtu, sio lazima yeye.Ushirikina, fear for unknown that has no proof
Mimi sio mchaga Wachaga niliowahi kutetea humu jamiiforums ni Dr Kimei na huyu mama tuNinyi si mna signs zenu, labda through signs alipokuwa anahojiwa umeshajua ni ndugu yako, who knows.
Huyu angefaa sana kuwa GAVANA WA BENKI KUU. Kwa mara ya kwanza tupate Mama Gavana.Huyu mama ni jembe la watanzania lisilotumika. Sidhani kama CCM ya wana iyena iyena itataka watu kama hawa. Bahati mbaya sana. Profile yake tamm sana. Hii ni mbegu bora sana kama kina Salim Ahmed Salim, Dr Mahiga, Amb Nyakhi, huyu jamaa MD wa TPDC...Hongera sana mama.
👍👍👍Mimi siyo huyo mama tafadhali hajanituma na sijawahi hata onana naye wala hanijui
Unataka wanaume wakombe BOT yote? Unakumbuka enzi za Zakia M.Huyu angefaa sana kuwa GAVANA WA BENKI KUU. Kwa mara ya kwanza tupate Mama Gavana.
Sasa wewe unamwombea kazi kwani kusoma sana ndio kitu tunahitaji pekee? Msije kutuletea majasusi wa cia.Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016
Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.
Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.
Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri
Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia wata2nzania wenzao.
Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba
Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.
CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA
Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.
She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.
Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.
This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.
Katafute mtu mwenye sifa kama hizo lakini kwenye eneo la aviation hasa Air Transport management ndio umpe hiyo kazi. Tuache kuishi kwa experiments.Kwa CV hiyo huyu Mama akabidhiwe ATCL kama MD, akaifanyie restructuring, ikishindikana tuiuze mazima!
Siongelei elimu world Bank au African development bank unahitaji insider ukitaka mkopo au msamaha wa madeni au extension huwezi kama huna insider atayekuwa anajua inside out za what is what and how to navigate Experience matter sio degree tuM
Sasa wewe unamwombea kazi kwani kusoma sana ndio kitu tunahitaji pekee? Msije kutuletea majasusi wa cia.
Mama aliishasema yeye na JPM ni kitu kimoja, JPM alisema hashauriwi, kwa hiyo mama naye hashauriki tafuta jingine.Tumwachie Raisi aamue