Rais Samia mteue Mwanamama Dr. Frannie Léautier kuwa mshauri wako au mpe nafasi yoyote kubwa

Kiswahili anakijua vizuri Ingia YouTube

Huyu mama mimi nimeanza kuongea toka kipindi cha Magufuli apewe nafasi atumikie nchi nikapuuzwa na kipindi hiki cha mama Samia nimeomba amteue amsaidie sio kesi asipompa

Huyo mama umri umeenda sana yuko beyond money kama Waziri wa mambo ya nchi za nje mama Mulamula

Umri waliofikia hawahitaji pesa tena

They are beyond money or allowonce au kiswahili
 

It is true Anil Bhandari alimuunganisha toka UDSM akapata scholarship ya kwenda MIT where she performed very well na ndio akapata kazi WORLD BANK ambako walifanya kazi na mwalimu wake tena. She rose to a very senior position within the World Bank as such she could be a very valuable resource kwa nchi. Huyu mama hana njaa hivyo atakuwa msaada sana.
Ishara moja Samia aliionesha wakati anawahutubia waTanzania pale Washington D.C ni kuwa hapendi kufanya kazi na watu waliomzidi umri pengine awe Kikwete!! Hilo alilionesha pale aliposema oneni vijana wangu hapo hakuna ninayemuamkia nikikutana nao asubuhi!!
Kama Kikwete anaweza kuwa na msaada kwake wa ushauri kutokana na anachoamini uzoefu wake kwanini hadhani uzoefu wa wengine unaweza kuwa msaada kwa maendeleo ya nchi? Huko Marekani alikotembelea Serikali inatumia sana watu wenye experience katika nyanja mbali mbali strategic. Hivyo Samia asiwaogope wastaafu wanaweza kuwa na msaada kwa maendeleo ya nchi kutokana na experience yao!!!

Watu wa namna hii hawahitaji teuzi, hawa hutumiwa kama consultants on specific issues. Mfano ni kama kuna masuala yanayohusu world Bank itakuwa rahisi kufanikisha mkimtumia huyu mama Kwani anauzoefu wa jinsi mambo yanavyofanywa kule badala ya kutumia vijana ambao ingawa ni makatibu wakuu lakini hawajawahi kufika hata Washington D.c. hivyo hawazijui corridors za World Bank! Yeye mwenyewe Samia nadhani ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kufika World bank HQS!
 
Pascal hoja yako iko below standard. Wanao wanaongea kisukuma fluently?

Unatia aibu kwa hiyo tuache mtanzania mwenzetu expert bank ya Dunia na Afrikan development bank na expert private sector kisa haongei kiswahili kizuri ?

Pascal Mayala umeniangusha sikujua kuwa una akili ndogo kiasi hiki loo
 
Huyu bibi tumpeleke wapi?
Kutumia experience na connection zake nimeomba awe mshauri wa Raisi nimepiga yowe toka kipindi cha Magufuli nikadharauliwa huyu mama hata hanijui sio ndugu yangu wala kabila yangu .Anyway silazimishi ushauri sio lazima uzingatiwe
 
Sio mimi wewe na mre commend tu
Aajiriwe na Bakhera kusimamia fleet yake, hii masters ya transportation is an asset kwa Bakheresa groups. Serikalini labda akasimamie SGR na magari ya mwendokasi.
 
Kws CV ya Kutukuka ya huyu Mama akiteuliwa tu na kuwa sehemu ya Serikali kwa Uswahili na Upuuzi uliopo na atakaokuta huko haraka sana Heshima na Credibility yake itashuka na ataanza Kudharaulika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mayalla, wakati anasoma huyu dada hapakuwa na mambo ya Division 1 ya point 10 au Division 1 point 3. Watu walikuwa wanapata divisions tu bila point. Hayo ya point ni ya siku za karibuni.

Amandla...
 
Kws CV ya Kutukuka ya huyu Mama akiteuliwa tu na kuwa sehemu ya Serikali kwa Uswahili na Upuuzi uliopo na atakaokuta huko haraka sana Heshima na Credibility yake itashuka na ataanza Kudharaulika.

She could serve as special consultant to Chief Hangaya on special issues hasa zinazohusiana na world bank; hasa hasa kwavile Mwigulu ni mwepesi kwenye International arena! Analipwa kutokana na assignments atakazofanya sio mshahara wa kila mwezi!
She will be doing a service to the country kwasababu mshahara wake huyu mama alipokuwa huko majuu hata mshahara wa chief Hangaya anaolipwa haufikii!!
 
Mayalla, wakati anasoma huyu dada hapakuwa na mambo ya Division 1 ya point 10 au Division 1 point 3. Watu walikuwa wanapata divisions tu bila point. Hayo ya point ni ya siku za karibuni.

Amandla...

Mambo ya points kwenye Divisions yako toka enzi za CAMRIDGE SCHOOL CERTIFICATES !!! Pengine kabla hujazaliwa!
 
Mambo ya points kwenye Divisions yako toka enzi za CAMRIDGE SCHOOL CERTIFICATES !!! Pengine kabla hujazaliwa!
Sio kuzaliwa. Ila sikujaliwa kusoma kama mlivyosoma nyie. Kama msomi kama wewe unasema zilikuwepo Fundi Mchundo wa Grade Test 2 hawezi kukubishia.

Amandla...
 
Mimi ninazungumza kwa uhakika vyeti vyangu vya enzi hizo kabla ya vidatu vyenu vina DIVISIONS NA POINTS!!
Sasa mbona haujiamini? Nani kakubishia? Ninachojua ni kuwa rafiki zangu wote waliojaliwa kuendelea na shule waliniambia kuwa walikuwa wanapewa grades tu ( A, B, C n.k.) katika kila somo. Na watu waliambiwa wamepata Div fulani na kila somo grade yake. Sikuwahi kuwasikia wanazungumzia point. Ila walikuwa wanasisitiza kigezo kikubwa kilikuwa ni kupasi kiswahili na siasa. Ila nahisi walikuwa wananidanganya maana wewe msomi wa Cambridge unasema haikuwa hivyo!

Amandla...
 
Dr. Frannie studied Korogwe girls secondary and High school ,first degree in engineering at UDSM before leaving for US
 
Uko sahihi
Ukipata mtu senior. Kufanya kazi dawati la benki za kimataifa ana vitu vizito aweza kukushauri
Anyway sio kesi nimeshauri tu ushauri waweza zingatiwa au kutupiliwa mbali

Ruksa kuchukua watu ambao hawana experience yeyote na mabenki ya kimataifa wanaenda na notisi tu walizosoma vyuoni kushauri au ku negotiate sio kesi

Ok huyu mama anybody asiyejielewa can treat her as an old dog who can't bite !! It is not a big issue!! hahitaji uteuzi kuendesha maisha ana monthly pension za Madola nyingi kuliko mshahara wa mbunge wa Tanzania hata wa Raisi!!
 
Bila shaka una matatizo ya akili wewe. Wahi Milembe. Punguani wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…