Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Hata kuwa mshauri wake kiuchumi itamsaidia Mama na Taifa kwa ujumla
Mzee hakutaka kabisa kustaafu bado haamini kama yeye ni mstaafuHuyo labda aende Chandimu, ana kiherehere kama bao la kwanza!
NO.kastaafu, anatumia kustaafu kwake vizuri kwa kushauriMzee hakutaka kabisa kustaafu......
bado aamini kama yy ni mstaafu
Kwani katiba iliruhusu bwana yule aongezewe muda wa kutawala? Si alikuwa akifanyiwa janjajanja aongezewe?
Hili ndio tatizo!Katiba hairuhusu ateuliwe tena.
kwa sababu aligundua madudu ya yule bwana na kuyaweka hadharani?Hamna mtu hapo zaidi ya kiburi na unafiki.
hicho kifungu kibadilishwe kwa hati ya dharura..Hili ndio tatizo!
Katiba mpya muhimu!