Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
[emoji817]% Prof: Asad.Ni mkweli
.Sio mnafiki
.Anasimamia ukweli
.Ni mcha MUNGU
.Hajipendekezi
.Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi
Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii.
Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.