Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
[emoji817]% Prof: Asad.Ni mkweli
.Sio mnafiki
.Anasimamia ukweli
.Ni mcha MUNGU
.Hajipendekezi
.Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi
Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii.
Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.
Dk semboja?Rais Samia anaweza kumteua Dk Semboja kwenye eneo hilo badala ya prof Assad ambaye kikatiba haruhusiwi
Kweli mkuu nimekuwa na wazo kama lako shida system yetu haitaki watu wakweli kama akina assad. Ni mkweli
. Sio mnafiki
. Anasimamia ukweli
. Ni mcha MUNGU
. Hajipendekezi
. Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi.
Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii.
Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.
kama maguMEKO alichomoa mapolofesa kutoka majalalani kina bashiru na yule mimacho wakamsaidia walivyomsaidia kwanini MAMA asimfikirie huyu MTU MUADILIFU DHAHIR lakini utashanga MAMA atajifanya kama hajui kuna kichwa kinaitwa ASSAD. Ni mkweli
. Sio mnafiki
. Anasimamia ukweli
. Ni mcha MUNGU
. Hajipendekezi
. Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi.
Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii.
Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.
Wewe mwenyewe ndo asaad sio?. Ni mkweli
. Sio mnafiki
. Anasimamia ukweli
. Ni mcha MUNGU
. Hajipendekezi
. Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi.
Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie watu wa aina hii.
Sina maslahi nae nimetoa ushauri tu na hii ni kutokana na weledi wake.
Anaweza kupewa hadhi ya mshauri mkuuKatiba hairuhusu ateuliwe tena.
Acha mstaafu apumzike, tunao wataalamu wengi sana nchi hii. Ni mkweli