Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr. Ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa Afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa. Hata kama siyo kumpa Uwaziri kamili mpatie Unaibu au nafasi ya Ukatibu kule Wizara ya Afya.
Hii ni dhahabu iliyosahaulika. Hapa namuongelea mwanadada Dr. Bahati Msacky ambaye ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza, Sekou Toure.
Huyu dada naweza kusema ni mtetezi wa wanyonge wanaofika kupatiwa huduma za afya hapa hospitalini. Kuifanya hospitali ya Sekou Toure kuwa hospitali bora kiutoaji huduma mbele ya hospitali kubwa na kongwe kama Bugando siyo japo jepesi hata kidogo!Siyo jambo jepesi!
Huyu dada yupo committed haswaa! Anaipenda kazi yake haswaa. Wanamwanza walio wengi wanaamini kabisa huyu dada anastahili kuwa katika nafasi za juu kiutendaji ili alinufaishe Taifa.
Wito wangu kwa madam President chukua hili jembe lipe wizara ndani ya miezi sita utaona matunda yake!