Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Huyu tutampa,shaka ondoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitaka niseme hili.Utasababisha mwenzako arogwe. Kumbafu
Ukatibu mkuu wa wizara au ukurugenzi wa wizara ni nafasi za kisiasa?Acheni uchawa vijana, mwambie huyo boss wako afanye kazi aliyosomea. Kama anataka siasa, aache kazi akagombee. Huwezi kuhudumia mabwana wawili.
Siku hizi hizo ni nafasi za kisiasa.Ukatibu mkuu wa wizara au ukurugenzi wa wizara ni nafasi za kisiasa?
Kama anastahili anapewaAnastahili hata ukatibu mkuu Dr msacky
Cc hater Accumen Mo
Bado tu unawaza ukabila 😀 😀 😀 mdogo wangu fanya kazi sana sio kujificha kwenye ukabila .Anastahili hata ukatibu mkuu Dr msacky
Cc hater Accumen Mo
Story nyingi ,hoja hamna ,sema ni kipi amefanya ambacho ni tofauti ili tumpongeze , badala ya kusema nini amefanya upo mara awe katibu mkuu, mara waziri .Huyu dada alizaliwa kutumikia wananchi!Huyu ni kati ya watumishi walio katika ngazi za juu kiuongozi wanaoitendea haki sekta ya afya nchini kikamilifu.Hapa namzungumzia Mganga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza,Sekou Toure.Huyu dada ndani ya muda mfupi kaifanya Sekou Toure iwe hospitali pendwa kanda ya ziwa ikigeuka kimbilio la wagonjwa wengi na kuipiku hospitali kubwa na kongwe yenye facilities nyingi zaidi ya ya Bugando katika utoaji wa huduma za kiafya Kwa wagonjwa!
Tatizo la Watanzania tuna kasumba ya kusubiri mtu aharibu au akosee ndipo tumshambulie au kumdhalilisha! Akifanya vizuri tunakuwa vipofu!Wakitokea wachache kupongeza mazuri yanayofanywa na mhusika linakuwa tatizo jingine! Siyo fair!Yaani hata sasa kuna watu wanatamani kuona Rais Samia Suluhu Hassan kila siku anaongelewa kwa mabaya hapo ndipo wanakuwa na relief moyoni.Ikitokea Rais kapongezwa Kwa mema aliyoyafanya kwao inageuka kuwa kero!
Bado naamini huyu dada anastahili kabisa kubeba mikoba kamili ya uwaziri wa afya au ukatibu mkuu kule wizara ya afya.Maono yake yatasaidia kulinufaisha Taifa badala ya kunufaisha eneo dogo tu la Mwanza na viunga vyake.Umri wake mdogo, haiba yake,nidhamu yake kazini,juhudi na vitaongeza ufanisi katika sekta ya afya.Tuliwahi kushauri kuhusu Dr.Faustine Ndugulile kupewa nyadhifa za juu Kwa maslahi ya Taifa watu wakabeza,Leo ni mkurugenzi Shirika la afya la Umoja wa Mataifa(WHO) kanda ya Afrika.Mifano ipo mingi!
I stand to be corrected🙏