4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Upo sahii sana mkuu, Bongo mpaka unaanza sifiwa jua kuna kitu ,Jumatatu tarehe 02 Sept, 2024 ulileta uzi wa kumwaga sifa kama huu, leo tarehe 04 Sept 2024 just 2 days after umeleta tena uzi wenye same theme. My friend miluzi mingi hupoteza Mbwa. Nenda taratibu utamuharibia huyo Dada!
Inawezekana wapo watu flan akiwemo mtoa mada kuwa na ushirika wa karibu wa kugawana keki.
Wenda pia uyu ni kindaki ndaki wa mboga mboga.
Unasifiaje mfawadhi bila kutopeleka sifa kwa watoa huduma, na je uyo mfawawidhi ni kweli yapo makubwa amefanya kuliko wafawidhi wengine katika referal hospital ? wahuni sio watu wazuri