Rais Samia mtupie jicho la tatu Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Rufaa Mwanza Sekou Toure Dkt. Bahati Msacky

Jumatatu tarehe 02 Sept, 2024 ulileta uzi wa kumwaga sifa kama huu, leo tarehe 04 Sept 2024 just 2 days after umeleta tena uzi wenye same theme. My friend miluzi mingi hupoteza Mbwa. Nenda taratibu utamuharibia huyo Dada!
Upo sahii sana mkuu, Bongo mpaka unaanza sifiwa jua kuna kitu ,

Inawezekana wapo watu flan akiwemo mtoa mada kuwa na ushirika wa karibu wa kugawana keki.

Wenda pia uyu ni kindaki ndaki wa mboga mboga.

Unasifiaje mfawadhi bila kutopeleka sifa kwa watoa huduma, na je uyo mfawawidhi ni kweli yapo makubwa amefanya kuliko wafawidhi wengine katika referal hospital ? wahuni sio watu wazuri
 
Mchaga wa watu
 
Jumatatu tarehe 02 Sept, 2024 ulileta uzi wa kumwaga sifa kama huu, leo tarehe 04 Sept 2024 just 2 days after umeleta tena uzi wenye same theme. My friend miluzi mingi hupoteza Mbwa. Nenda taratibu utamuharibia huyo Dada!
Mtu akifanya mazuri huna kiwango cha kumsifia.Mtu akifanya maovu pia huna limit ya kumkosoa.Mbona mpaka sasa watu Kila siku wanaandika nyuzi za kumkosoa kiboko ya wachawi na hamlalamiki?
 
mnampigia debe ama mnampromoti? kwa taarifa yenu watu wachapa kazi na wanaojitambua hawawezi kupewa vyeo , wee hushangai anatolewa Ummy Mwalimu anawekwa Jenista shameeeeeeeeeeeeeeeeeeee, pia unatoa Jerry silaa unaleta Ndejembiiii, uwiii makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, FAILED state, hata kama nayachukia mafiisiiemu lakini hoawa waliotolewa angalau walikua wanajimwambafai na kuna baadhi ya mambo waliyamudu kabisaaa, ila sasa mama yenu Hangaya yaani akilishwa tango pori kuwa kuna mtu anamfunika dakika sifuri anamuua.
 
Makonda anafanya kazi hahitaji sifa kazi yake ndio inambeba.

Watanzania badala ya kutafuta wapambe wa kusifia kazi zetu tuache kazi zitubebe tuige mfano wa Magufuli.Hakupanga wala kutarajia kuwa Raisi na hakuwa na mpango wala wapambe ila kazi yake ndio ilimbeba hadi kuwa Raisi

Wafanyakazi wa serikali chapeni kazi acheni longolongo za upambe mitandaoni .

Makonda vile vile hahitaji wapambe kumbeba kazi afanyazo ndizo zinambeba

Na huyo acheni kazi zimbebe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…