Ni watu tuu wenye akili ndogo na wenye akili fupi, ndio wanaodhania Pasco Mayalla anatafuta uteuzi, laiti ungelinijua mimi ni nani for real zaidi ya humu jf, nitafute uteuzi for what?.
Tafuta rafiki wa TRA, mwambie akuangalizie TIN number ya Pascal Andrew Mayalla, akuambie nalipa kodi kiasi gani, ndipo ujiulize huo uteuzi niutafute ili nipate nini?!.
Kwa vile sasa nina approach 60, nimejitolea kuwa mwalimu wa vilaza vilaza kama wewe, somo la kwanza ni kutofautisha, wasifiaji waimba mapambio wanaosifia ili kujikomba, na wale wasifiaji genuine wakipongeza mazuri.
Waifuji wa kujikomba, wao kazi ni moja tuu, kusifu, hakuna critique, wasifuji wa kweli ni wale watasifu kwenye mazuri tuu na kukosoa kwenye mabaya au mapungufu.
Mimi penye kustahili sifa, nasifu, na panapostahili kukosoa, nakosoa, msaka uteuzi kamwe hawezi kukosoa!.
Pole sana dogo.
P