Hiyo taarifa imetolewa wiki iliyopita jumatano, Ina maana huo ukame umetokea ndani ya wiki moja?Hawakuongopa,ni ukweli kwamba kama hakuna Hali ya dharura kama ukame uwezo wa mitambo at full capacity ni Mkubwa kuliko mahitaji.
Sasa ukame umeondoa zaidi ya mgwat 300 sasa ziada ni mgwt 150 ,kwa hali hii lazima upungufu utokee.
Kwani ukame ndio unaondoa ukweli kwamba mitambo at full capacity inazidi mahitaji? Unaelewa au unaleta chuki binafsi?Hiyo taarifa imetolewa wiki iliyopita jumatano, Ina maana huo ukame umetokea ndani ya wiki moja?
Akiajibishwa huyo na waziri mkuu Naye awajibishwe??? Viongozi wetu hawa wa sasa ni waongo sana, Hamna wa kumwamini!! Uongo ndo uliowatawala
Ni watu tuu wenye akili ndogo na wenye akili fupi, ndio wanaodhania Pasco Mayalla anatafuta uteuzi, laiti ungelinijua mimi ni nani for real zaidi ya humu jf, nitafute uteuzi for what?.Hayo unayosema yametokea ndani ya wiki moja?
Hata ufanye nini huwezi kupata uteuzi
Hata ufanyaje HUTAPATA UTEUZI. Nakuapia hapa HUTAPATA UTEUZINi watu tuu wenye akili ndogo na wenye akili fupi, ndio wanaodhania Pasco Mayalla anatafuta uteuzi, laiti ungelinijua mimi ni nani for real zaidi ya humu jf, nitafute uteuzi for what?.
Tafuta rafiki wa TRA, mwambie akuangalizie TIN number ya Pascal Andrew Mayalla, akuambie nalipa kodi kiasi gani, ndipo ujiulize huo uteuzi niutafute ili nipate nini?!.
Kwa vile sasa nina approach 60, nimejitolea kuwa mwalimu wa vilaza vilaza kama wewe, somo la kwanza ni kutofautisha, wasifiaji waimba mapambio wanaosifia ili kujikomba, na wale wasifiaji genuine wakipongeza mazuri.
Waifuji wa kujikomba, wao kazi ni moja tuu, kusifu, hakuna critique, wasifuji wa kweli ni wale watasifu kwenye mazuri tuu na kukosoa kwenye mabaya au mapungufu.
Mimi penye kustahili sifa, nasifu, na panapostahili kukosoa, nakosoa, msaka uteuzi kamwe hawezi kukosoa!.
Pole sana dogo.
P
Lakini ukiteuliwa hutokataa?Ni watu tuu wenye akili ndogo na wenye akili fupi, ndio wanaodhania Pasco Mayalla anatafuta uteuzi, laiti ungelinijua mimi ni nani for real zaidi ya humu jf, nitafute uteuzi for what?.