DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Hakuna mitu kama hicho, mfumo wa tra una uwezo wa kutrace toka siku bidhaa inaingia nchini mpaka inapouzwa / isipouzwa siku ya mwisho.

Au huyo kijana hizo tairi anaziunda mwenyewe?

Huu ulioletwa hapa ni ujinga tu ambao wajinga tu watauamini.

Na kama tra ya leo mwaka 2023 haina mfumo huo basi wanaofanya kazi tra wote ni wala rushwa wanaofanya makusudi kutoutumia mfumo inavyopaswa. Tena wanapokwenda madukani wanadiwe kuwa ni wezi, wale kichapo.
Bi Faiza, unamfahamu mtuhumiwa?
 
Balaa,na wale maofisa tayari wamekwisha kuhamishwa vituo vyao vya kazi.wamepelekwa mikoani huko.
Si ajabu walimuomba rushwa
Maana maafisa wa tra waroho
Nao ...kwerikweri

Ehe wametupwa mkoa gani katavi au simba wanga huko

Ova
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom