Hakuna mitu kama hicho, mfumo wa tra una uwezo wa kutrace toka siku bidhaa inaingia nchini mpaka inapouzwa / isipouzwa siku ya mwisho.
Au huyo kijana hizo tairi anaziunda mwenyewe?
Huu ulioletwa hapa ni ujinga tu ambao wajinga tu watauamini.
Na kama tra ya leo mwaka 2023 haina mfumo huo basi wanaofanya kazi tra wote ni wala rushwa wanaofanya makusudi kutoutumia mfumo inavyopaswa. Tena wanapokwenda madukani wanadiwe kuwa ni wezi, wale kichapo.