technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
========
"Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu wateuliwa wote ni vijana na kuna mkeka wa maDC utakaotoka hivi karibuni. Nataka kuwaambia kuwa wote ni vijana, lakini vijana baadhi mnapopata fursa hizi mnatuangusha. Napenda kuwaambia kuwa mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa.", amesema Rais Samia
Rais Samia akihutubia Wananchi waliohudhuria mkutano wake na vijana katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana, Mwanza.
Vijana wa Mkoa wa Mwanza wakihudhuria mkutano huo kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.