Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.

Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.

========

"Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu wateuliwa wote ni vijana na kuna mkeka wa maDC utakaotoka hivi karibuni. Nataka kuwaambia kuwa wote ni vijana, lakini vijana baadhi mnapopata fursa hizi mnatuangusha. Napenda kuwaambia kuwa mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa.", amesema Rais Samia



Samia.jpg

Rais Samia akihutubia Wananchi waliohudhuria mkutano wake na vijana katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana, Mwanza.

Vijana.jpg

Vijana wa Mkoa wa Mwanza wakihudhuria mkutano huo kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 
Mama Samia akiwa Live mkoani Mwanza kwenye kongamano la vijana amesema tayari kuna mkeka wa MaDC na wakurugenzi wa mashirika mbali mbali ya serikali na vijana wakae mkao wakula kwani teuzi zitawahusu moja kwa moja kwa kiwango kikubwa.
 
Wakiwa vijana au watoto tume huru ya uchaguzi ndio itakayoamua kama hayo yanayofanyika yanakubalika na jamii vinginevyo ni uccm tu blah blah blah.
 
Mama Samia akiwa Live mkoani Mwanza kwenye kongamano la vijana amesema tayari kuna mkeka wa MaDC na wakurugenzi wa mashirika mbali mbali ya serikali na vijana wakae mkao wakula.
Please na Mimi jamani niule
 
Back
Top Bottom