Rais Samia na CCM wenzangu, ni utamaduni wa siku nyingi kila Rais kuwa na Waziri Mkuu wake, tunaomba utamaduni huo uendelee!

Tuko

Tayari kumgharamia, lengo nchi isonge mbele
Majaliwa ni mchapakazi wa hali ya juu.

Kumbuka kuwa awamu ya tano JPM alimkwaza sana Majaliwa, watu kama Makonda na Kakoko hawakumheshimu.

Kaka wa bandari ikafikia hatua anamsema wazi kabisa akiwa amekaa na ndugu zake kwenye meza za waalikwa wa harusi, akisahau kuwa pembeni yake wamekaa watu wa TISS.

Makonda aliwadharau mawaziri ikafikia hatua Dr Mpango akaamua liwalo na liwe akajibu mapigo.

Majaliwa unaweza kumuweka kundi la Hayati lakini alikumbana na mikwaruzo ambayo Rais Samia anaijua vizuri.

Awamu hii anafanya kazi bila ya uwepo wa wambea na ma-snitch wa mkuu kabisa.
 
MTOA POST HUJUI MAJALIWA ANA WATOTO ANASOMESHA??UNATAKA AKALE WAPI???
 
Kwani kama taifa kuhudumia MTU mmoja ni gharama sana!? Mbona tunahudumia Wabunge lukuki kazi yao kupiga makofi tu!? Pia Uviko 19!? Hiyo gharama unayosema isiwe kigezo!!!
 
Alikiwa akidharauliwa hata na kamishna wa TRA.
Kuna mambo ya kipuuzi sana yalikuwepo awamu ya tano. Rais Samia na Majaliwa wamevumilia mengi.

Rais atakuwa anawachora sana baadhi ya mawaziri wanaomsalimia wakiwa wanainamisha shingo, waliomnyanyapaa kwa uanamke wake.

Watu walijisahau kabisa yaani.
 
Majaliwa Tosha......
 
Hii ume exaggerate....
 
Aiseee
 
Kwa JPM mngeyaongea hayo?
 
Sijakuelewa mkuu, ila Rais anapoapa, huwa anaapa kulinda mila na tamaduni, sisi tumeomba alinde utamaduni huu, wenyewe tumeshauzoea
Je kakiuka kifungu.chochote cha sheria?
 
Mkuu, sisis wanachi tunataka utamaduni uendelee, mama asilazimishwe kuwa na mtu asiyemtaka
Kakuambia hamtaki? Akitoka yeye mletewe mzanzibar mtalalamika MAJALIWA chapa kazi
 
Aendelee na huyuhuyu hadi awamu yake itakapoisha.
Gharama za kulea msururu wa mawaziri wakuu wastaafu ni mzigo kwetu...
Labda uwazindue Kwa hilo, maana hawana walijualo
 
Naunga Mkono. Rais Samia teua Waziri Mkuu wako huyu alisimamia serikali iliyofanya uonevu mwingi sana kwa raia zaidi iliyowahi kuwepo hapa Tanzania hapo kabla. Mpumzishe kama ulivyofanya kwa Bashiru
Kwani Samia hakuwa sehemu ya hiyo Serikali?.
 
Naunga Mkono. Rais Samia teua Waziri Mkuu wako huyu alisimamia serikali iliyofanya uonevu mwingi sana kwa raia zaidi iliyowahi kuwepo hapa Tanzania hapo kabla. Mpumzishe kama ulivyofanya kwa Bashiru
Aah, wapi,,yule kassimu pale amefit,,huyo ndo atakuwa waziri mkuu aliekaa madarakani kwa kipindi kirefu kuliko wote,,hstuwezi kuwa tunastaafisha mawaziri wakuu kila miaka mitatu,,gharama za kuhudumia mawaziri wakuu,wastaafu si mchezo
 
Tena sasa ndo yuko huru anapiga kazi vizuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…