G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Kuna namna nchi yetu ipo jalalani tena pakubwa mno.
Jana nilipoona mjadala kati ya Chadema na wahariri wa vyombo vya habari nikajikuta nakumbuka haya:
1. Hivi mara ya mwisho kuwa na mjadala wa aina hii ilikuwa lini? Ipo wapi mijadala ya Enzi za Ukumbi wa Nkurumah, enzi za kina Shivji kina Slaa na wengine?
2. Zipo wapi mada za mustakabali wa nchi zilizotamalaki enzi za utawala wa JK?
3. Wako wapi waandishi wenye weledi wa kudadavua mambo kama wa enzi zile? Ni hawa kutwa kucha unasikia mambo ya ball control sijui force nine na ujinga ujinga mwingine wa Simba na Yanga kutwa nzima?
4. Siku hizi Rais wa nchi anapost anakula vitumbua na anaandika nakula vitumbua. Kinachofuata ni mijadala na endorsements za ujinga ujinga.
5. Ule mtandao wa Twitter umejaa watanzania wajinga kweli kweli. Mada wanazopost kule ni za kijinga kijinga
Samia, CCM na machawa msifurahie hali hii. Kinachoenda kutokea ni kutawaliwa kifikra na nchi nyingine maana sisi tutakuwa tumeshapoteza uwezo wetu wote wa akili.
Samia na machawa kamwe msifurqh