Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Ukiachilia mbali vikao maalumu vya kimkakati kidigitali ambavyo hufanyika mara kwa mara nchini kote, mipango mingi muhimu na mikubwa zaidi ndani ya ccm hufanyika pia kianalojia kulingana na mazingira ya eneo husika kwa lengo la kukiimarisha, kukiboresha na kukisogeza karibu zaidi na wanachama na wananchi wote kwa ujumla.
Kila tawi la CCM kwasasa liko active na busy sana kupokea maombi ya usajili na kuwasajili wananchama wapya kidigitali, lakini pia kugawa kadi mpya za kielectroniki kwa mamailioni ya waTanzania ambao tayari wameshasajiliwa ndani ya CCM na kazi kubwa ya kusajili mamailioni ya vijana inaendelea kwa kasi na viwango tajika.
Kuthibitisha sayasi ya siasa inavyotumiwa vyema na CCM, ni vema kua wastahimilivu na wenye subra wakati katibu muenezi wa ccm taifa atakapotoa mrejesho na matokeo ya kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa kinachoendelea makao makuu ya Chama.
Kuna haja ya vyama vya siasa vinavyoendeshwa kwa matamko na kauli binafsi za bila vikao kujifunza jambo muhimu sana kwa CCM. Chama cha siasa ni vikao ndrugu zangu na sio mfululizo wa press conferences, mikwara au kupiga kelele tu na kuropokaropoka kwenye social medias.
Watu wanaendesha vyama kama magenge ya kuhunii tu. Siasa ni sayansi.
Mungu Ibariki Tanzania.