Chama kilichojaza washirikina kiendeshwe kisayansi?!Ukiachilia mbali vikao maalumu vya kimkakati kidigitali ambavyo hufanyika mara kwa mara nchini kote, mipango mingi muhimu na mikubwa zaidi ndani ya ccm hufanyika pia kianalojia kulingana na mazingira ya eneo husika kwa lengo la kukiimarisha, kukiboresha na kukisogeza karibu zaidi na wanachama na wananchi wote kwa ujumla.
Kila tawi la CCM kwasasa liko active na busy sana kupokea maombi ya usajili na kuwasajili wananchama wapya kidigitali, lakini pia kugawa kadi mpya za kielectroniki kwa mamailioni ya waTanzania ambao tayari wameshasajiliwa ndani ya CCM na kazi kubwa ya kusajili mamailioni ya vijana inaendelea kwa kasi na viwango tajika.
Kuthibitisha sayasi ya siasa inavyotumiwa vyema na CCM, ni vema kua wastahimilivu na wenye subra wakati katibu muenezi wa ccm taifa atakapotoa mrejesho na matokeo ya kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa kinachoendelea makao makuu ya Chama.
Kuna haja ya vyama vya siasa vinavyoendeshwa kwa matamko na kauli binafsi za bila vikao kujifunza jambo muhimu sana kwa CCM. Chama cha siasa ni vikao ndrugu zangu na sio mfululizo wa press conferences, mikwara au kupiga kelele tu na kuropokaropoka kwenye social medias.
Watu wanaendesha vyama kama magenge ya kuhunii tu. Siasa ni sayansi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Hakuna hoja hapo ni matapu tapucha kuwaza ulevi gentleman,
jikite kwenye hoja mezani bila mihemko
Ukiachilia mbali vikao maalumu vya kimkakati kidigitali ambavyo hufanyika mara kwa mara nchini kote, mipango mingi muhimu na mikubwa zaidi ndani ya ccm hufanyika pia kianalojia kulingana na mazingira ya eneo husika kwa lengo la kukiimarisha, kukiboresha na kukisogeza karibu zaidi na wanachama na wananchi wote kwa ujumla.
Kila tawi la CCM kwasasa liko active na busy sana kupokea maombi ya usajili na kuwasajili wananchama wapya kidigitali, lakini pia kugawa kadi mpya za kielectroniki kwa mamailioni ya waTanzania ambao tayari wameshasajiliwa ndani ya CCM na kazi kubwa ya kusajili mamailioni ya vijana inaendelea kwa kasi na viwango tajika.
Kuthibitisha sayasi ya siasa inavyotumiwa vyema na CCM, ni vema kua wastahimilivu na wenye subra wakati katibu muenezi wa ccm taifa atakapotoa mrejesho na matokeo ya kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa kinachoendelea makao makuu ya Chama.
Kuna haja ya vyama vya siasa vinavyoendeshwa kwa matamko na kauli binafsi za bila vikao kujifunza jambo muhimu sana kwa CCM. Chama cha siasa ni vikao ndrugu zangu na sio mfululizo wa press conferences, mikwara au kupiga kelele tu na kuropokaropoka kwenye social medias.
Watu wanaendesha vyama kama magenge ya kuhunii tu. Siasa ni sayansi.
Mungu Ibariki Tanzania.
tuliza mihemko,
changia hoja bila jazba gentleman.
🖕acha kuweweseka basi gentleman,
na utulize mihemko ikiwa uko pointless
hunaga artwork nonsense mpya gentleman?
utabebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenye ya magharibi mpaka lini?
ndio uache kukurupuka kama linyumbu vile gentleman.Hata sijui nimekuja kufanya nini huku? Nimeishia kusoma huu uchafu. Ngoja nijiondokee zangu, nisije nikaharibu siku yangu iliyoanza kwa uzuri kabisa hii leo
Ni CCM mpaka mwisho wa DuniaYes,
na matarajio ya maendeleo na matumaini ya kiusalama kwa waTanzania kupitia serikali sikivu ya CCM ni makubwa na ya uhakika zaidi.
ni wazi CCM itaongoza na kuitawala Tanzania kwa miaka mingi mno ijayo.
well and good gentleman, thank you.
but ikiwa wewe ni useful,
naomba basi ponguza nonsense kwenye mambo muhimu na ya msingi kama hili lililoko mezani na ikiwa uko pointless kaa kimya tu kuliko kumbwelambwela na mambo nonsense jukwaani.
sawa gentleman,
hapa ulikua wapi wakati huo gentleman?
ulikua na swag za kijuba balaaa dah![]()
Yaani buku7 tu anasifu na mapambio juu