Rais Samia na Hayati Magufuli ni Marais wa mfano Afrika utekelezaji wa Miradi

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam,

Juz kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa ktk nchi zao, nimebaini rais samia na magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko marais wote africa.

Hongera mama samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza, changamoto za kiutawala zipo dunia nzima na ni sehem ya utawala.
Chunguza vizuri, kuna marais wanatwlekeza miradi mizito zaidi, tofauti ni hawaongei wala kujipigia chapuo. Africa ni kubwa na ina marais wengi, zunguka tena uje uandike hapa
 
Salaam,

Juz kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa ktk nchi zao, nimebaini rais samia na magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko marais wote africa.

Hongera mama samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza, changamoto za kiutawala zipo dunia nzima na ni sehem ya utawala.
Mboana umetoa Hongera kwa mmoja!!! 😀
 
Salaam,

Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote Afrika.

Hongera Rais Samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza, changamoto za kiutawala zipo dunia nzima na ni sehem ya utawala.

Soma Pia: Balozi Nchimbi: Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni moja ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Magufuli
KAMWE hawezi kumfikia/kumkaribia JP.MAGUFULI,na mnazidi kuvurunda [ccm]kwa kumlinganisha huyu mama na JPM kwa uwajibikaji na utekelezaji wa miradi.
Hii ni mbinu yenu ccm ya kumsafisha kiongozi wenu kwa sifa za JPM, lakini haitawafaa, kwasababu tayari ameshajipambanua kwa wananchi kuwa yeye ni nani na wa mlengo upi!
Msipoteze muda na nguvu zenu kumsafisha,''mioyoni mwa wananchi/Watanzania,hakubaliki tena.
 
Ukiachana na propaganda za mtandaon samia anakubalika sana
 
Salaam,

Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote Afrika.

Hongera Rais Samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza, changamoto za kiutawala zipo dunia nzima na ni sehem ya utawala.

Soma Pia: Balozi Nchimbi: Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni moja ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Magufuli
umenena Ukweli bayana, na tena Ukweli mtupu, na Mwenyezi Mungu Akubariki Sana, Aimen 🙏
 
Salaam,

Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote Afrika.

Hongera Rais Samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza, changamoto za kiutawala zipo dunia nzima na ni sehem ya utawala.

Soma Pia: Balozi Nchimbi: Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni moja ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Magufuli
Toa jina magufuli. Magufuli hajawahi kutekeleza mradi hata mmja. Toa mfano
 
KAMWE hawezi kumfikia/kumkaribia JP.MAGUFULI,na mnazidi kuvurunda [ccm]kwa kumlinganisha huyu mama na JPM kwa uwajibikaji na utekelezaji wa miradi.
Hii ni mbinu yenu ccm ya kumsafisha kiongozi wenu kwa sifa za JPM, lakini haitawafaa, kwasababu tayari ameshajipambanua kwa wananchi kuwa yeye ni nani na wa mlengo upi!
Msipoteze muda na nguvu zenu kumsafisha,''mioyoni mwa wananchi/Watanzania,hakubaliki tena.
Kwani jpm alitekeleza mradi gani. Leta mfano hata mmoja tu
 
Hilo linaweza lisieleweke kwa vile wanaofanya kazi ya kukosoa wanazingatia zaidi kwenye wapi pabovu, na hawazingatii jitihada inayowekwa.

Just imagine yupo mtu yeye kajiweka tayari kwa ajili ya kuangalia loopholes tu, fikiria ni lini utapatia mbele ya mtu huyu? so ni specialisation tu katika siasa.
 
Dawa ya wapuuz ni kuwapuuza.
 
Usimfananishe Magufuli na Samia.
Uchaguzi umekaribia mnantaka kutembelea nyota ya shujaa.
Samia mfananishe na Kikwete.
 
Utekelezaj wa miradi ndo umewaweka pamoja na sio kuwafananisha kama usemavyo.
 
Back
Top Bottom