KAMWE hawezi kumfikia/kumkaribia JP.MAGUFULI,na mnazidi kuvurunda [ccm]kwa kumlinganisha huyu mama na JPM kwa uwajibikaji na utekelezaji wa miradi.
Hii ni mbinu yenu ccm ya kumsafisha kiongozi wenu kwa sifa za JPM, lakini haitawafaa, kwasababu tayari ameshajipambanua kwa wananchi kuwa yeye ni nani na wa mlengo upi!
Msipoteze muda na nguvu zenu kumsafisha,''mioyoni mwa wananchi/Watanzania,hakubaliki tena.