Rais Samia na Jesca Magufuli

Rais Samia na Jesca Magufuli

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,585
Reaction score
11,601
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

1704990722039.jpg
 
View attachment 2868776
Anaonekana mwenye furaha zaidi na bashasha kuonana na mheshimiwa Mkuu wa kaya... meno yote nje 😁😄... hata ameshasahau kuhusu Baba tena
 
Back
Top Bottom