Rais Samia na Jesca Magufuli

Rais Samia na Jesca Magufuli

Yaani unajikuta mjanja wa mjini ila ukifatiliwa sana utakuta wewe na uyo unayemsema amekuzidi kila kitu

Uyo mtoto wa magufuli kazaliwa osterbey Baba akiwa waziri

Wewe hata uwezo wa kuonanana na mkuu wa wilaya huna
Mkuu usipende kuchukulia mambo serious sana. Mimi mwenyewe ni msukuma.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

View attachment 2868776
Huyu mtot ateuliwe awe viti maalumu[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Yaani unajikuta mjanja wa mjini ila ukifatiliwa sana utakuta wewe na uyo unayemsema amekuzidi kila kitu

Uyo mtoto wa magufuli kazaliwa osterbey Baba akiwa waziri

Wewe hata uwezo wa kuonanana na mkuu wa wilaya huna
Jamani khaaa.
 
Back
Top Bottom