Rais Samia na Jesca Magufuli

Rais Samia na Jesca Magufuli

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

View attachment 2868776
Inaonyesha Jesca ni binti mnyenyekevu kama mama yake
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

View attachment 2868776
Safari hii kutakuwa na drama za kufa mtu.
Tunajua kabisaa kuwa aliyepo anamdis sana aliyemtangulia ndo maana miaka miwili ya mwanzo hakuacha kumnanga kila akipanda jukwaani...

Leo ndugu wa marehemu ndo wanatumika kusaka uhalali
 
Wasukuma wana kisasi wakiamua..ogopa
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

View attachment 2868776
Chombo ya jiwe 😍
 
Kuna siku atampa DAS au RAS soon...
 
Oh Jesca...you were born from a very strong man. Nikikuona namkubuka mwamba wetu. Nakuombea kila lililo jema liambatane nawe ktk maisha yako kulipia nguvu aliyotumia mzee wako kulijenga taifa hili
Familia Yako Huwa unaitamkia haya maneno?
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

View attachment 2868776
Huyo ndio alipataga zero ila akawa anasoma Udom 😁😁

Baba yake si ndio yule mwenye kashfa ya kununua PhD?
 
Kuna walinda legacy wanamchukia Mama Samia lakini familia yake Mwendazake full upendo kwa Mama Samia. Kuanzia Mama Janeth mpaka watoto wa marehemu hawana kabisa kinyongo Wala chuki na Mama Samia anaonyesha upendo umejaa kwa familia ya marehemu na hii inatoa picha kuwa hapakuwa na tatizo kati ya mrehemu na makamu wake.
 
Back
Top Bottom