Unawajua wasukuma mkuu au unawasikiaga tu?Uvaaji huu wa sweta zito na joto la Sasa znz imekaaje?
Mkuu....acha basi.🤣🤣🤣Huyu ndio aliyesoma yudomu
Sana,ana moyo mweupe mno.AbarikiweHuyu dada inaonyesha hana mambo mengi
Haa Mkuu Acha HiyoUnawajua wasukuma mkuu au unawasikiaga tu?
Unawajua wasukuma mkuu au unawasikiaga tu?
Ndiyo Huyo Akamaliza Pale Akaendelea Mbele Sana Na Ana Maisha YaliyotuliaHuyu ndio aliyesoma yudomu
Wasukuma na wanyamwezi wana undugu na ushamba 😂Uvaaji huu wa sweta zito na joto la Sasa znz imekaaje?
Anaonekana mwenye furaha zaidi na bashasha kuonana na mheshimiwa Mkuu wa kaya... meno yote nje 😁😄... hata ameshasahau kuhusu Baba tenaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
View attachment 2868776
Huyu ndio aliyesoma yudomu
Ni boss mtoto hapo REA....Ndio huyo, alimaliza akaendelea na mishe zake kimya kimya...
Nadhani ashaolewa na wanaishi Matosa au Temboni huko na mume wake, maana kuna mahali huwa nasikia wanapaita kwa Jesca Magufuli huko Temboni/Matosa ndani ndani...