JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Rais Wetu Samia Makamu Philipo Mpango mtuongoze Milele hapa Tanzania
Hiki ni kibwagizo cha wimbo wa kikundi cha ngoma na uimbaji cha Buyegu , kwenye tamasha la Utamaduni Mwanza.
Kimenipa maswali mengi.
1. Kuna ujumbe tunaandaliwa kisaikolojia?
2. Wandaanji wa wimbo hawajui wanacho imba ama wamedhamilia?
3. Huo wimbo/ujumbe haujapitia mikononi mwa wahariri?
4. System haijafanya vetting ya hizi nyimbo? , Kwa nini wasifanye, ikitokea siku wimbo unaimbwa kwa kumtukana rais mbele ya umma watafanya nini?. In fact wametukana.
Harafu muimbaji kaimba hicho kibwagizo mara nyingi sana. Anyways hii nchi imelala sana.