'Rais' Samia na wabunge 'wako' mtaliliwa kama anavyoliliwa Bwege au Watanzania watakesha wakisherekea kama Mwaka Mpya?

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Wakuu,

Katika vifo vya viongozi vilivyotokea hivi karibuni comment sections mtandaoni zilikuwa zimesheheni furaha ya Wananchi huku wakishikuru kwa 'kidogo' walichopewa. Hii imekuwa tofauti kwa Bwege.

Wananchi wameonyesha uchungu wao kwa kumpoteza mwanasiasa huyu, akisiwa kwa kusimamia kweli ya HAKI, sio amani tu bali AMANI ikiambatana na HAKI. Alisema ukweli bila kupepesa macho.

Tumeona kwa Ndugai, Jenista, Lukuvi..... raia hawana habari, ndo kwanza 'wanaongeza maombi' target iongezeke! Na cha kushangaza eti wanakamata wanaosherekea badala ya kusafisha uchafu wao!

Mnadhani mtaliliwa kama Bwege au raia watakuwa na mwezi mzima wa kusherekea? Wabubujikwe na machozi ya furaha kwa hisani ya Lucas Mwashambwa na binamu yake Tlaatlaah.
 
Siku mama Grace akikata kamba nitafanya bonge ya sherehe.
 
Shimo la lukavu limechimbwa
 
Gentleman,
ni binadamu mwenye akili za unyani na ubwege wa kiwango cha juu sana, ambae pia ni marehemu mtarajiwa kufurahia kuaga dunia kwa marehemu mwendazake binadamu kama yeye.

ama kwa hakika nyani haoni kundule
 
Wakuu,

Katika vifo vya viongozi vilivyotokea hivi karibuni comment sections mtandaoni zilikuwa zimesheheni furaha ya Wananchi huku wakishikuru kwa 'kidogo' walichopewa. Hii imekuwa tofauti kwa Bwege.

Wananchi wameonyesha uchungu wao kwa kumpoteza mwanasiasa huyu, akisiwa kwa kusimamia kweli ya HAKI, sio amani tu bali AMANI ikiambatana na HAKI. Alisema ukweli bila kupepesa macho.

Tumeona kwa Ndugai, Jenista, Lukuvi..... raia hawana habari, ndo kwanza 'wanaongeza maombi' target iongezeke! Na cha kushangaza eti wanakamata wanaosherekea badala ya kusafisha uchafu wao!

Mnadhani mtaliliwa kama Bwege au raia watakuwa na mwezi mzima wa kusherekea? Wabubujikwe na machozi ya furaha kwa hisani ya Lucas Mwashambwa na binamu yake Tlaatlaah.
Ukiweka hisia pembeni.
Marehemu anafaidika nini mkimlilia u msipomlilia?
 
Huyo bwege wenu alikuwa hoi nusu ya kufa hakuna aliyemchangia Matibabu Sasa mna mlilia Kwa lipi na Kwa nini?

Huu utakuwa ni ujinga na unafiki
 
🤣🤣 vile mmeishiwa hoja, umeruka kutoka kwenye matendo hadi michango! Wangeshindwa kumhudumia wangekuja kuomba mchango. Yaani wote, ACT na CHADEMA tungechanga, that was not the case honey, embu kuja na hoja yenye mashiko bana
 
Baada ya kufa ndio amekuwa wa maana ila alivyokuwa anaumwa hakuwa wa maana ?

Angekuwa ndugu yangu ningewapiga marufuku kumitumia Kisiasa hamna maana nyie na familia ndio ingeendesha msiba pumbavu zenu.
 
🤣🤣🤣 dogo unajiaibisha ujue? Bwege ni wa maana toka kitambo, unajua kwa nini? Hajawahi kuwa mnafiki! Kwake nyeusi ilikuwa nyeusi, nyeupe ilikuwa nyeupe, akiona sehemu haimfai anaenda anakoona kunaendana na misimamo ya kupigania haki na uchangamfu wake tu umemfanya apendwe toka zamani

Bwege anatamba toka Tunaanza Upyaaaaaaaaaaa.... We Ulisikia wapi😂😂.... We ulisikia wapi kuwa tunamchukia Bwege unlike huyo mama yenu na genge lake waliozungukwa na damu. Akawachenga Watanzania na kuonyesha yeye ni mnyama kuliko mtangulizi wake🌚
 
Back
Top Bottom