'Rais' Samia na wabunge 'wako' mtaliliwa kama anavyoliliwa Bwege au Watanzania watakesha wakisherekea kama Mwaka Mpya?

Siku huyo bibi akikata moto natoa ahadi nitachinja ng'ombe na kuandaa tafrija kubwa sana.
 
🤣🤣🤣 dogo unajiaibisha ujue? Bwege ni wa maana toka kitambo, unajua kwa nini? Hajawahi kuwa mnafiki! Kwake nyeusi ilikuwa nyeusi, nyeupe ilikuwa nyeupe, akiona sehemu haimfai anaenda anakoona kunaendana na misimamo ya kupigania haki na uchangamfu wake tu umemfanya apendwe toka zamani

Bwege anatamba toka Tunaanza Upyaaaaaaaaaaa.... We Ulisikia wapi😂😂.... We ulisikia wapi kuwa tunamchukia Bwege unlike huyo mama yenu na genge lake waliozungukwa na damu. Akawachenga Watanzania na kuonyesha yeye ni mnyama kuliko mtangulizi wake🌚
Dogo ni baba yako
 
Wakuu,

Katika vifo vya viongozi vilivyotokea hivi karibuni comment sections mtandaoni zilikuwa zimesheheni furaha ya Wananchi huku wakishikuru kwa 'kidogo' walichopewa. Hii imekuwa tofauti kwa Bwege.

Wananchi wameonyesha uchungu wao kwa kumpoteza mwanasiasa huyu, akisiwa kwa kusimamia kweli ya HAKI, sio amani tu bali AMANI ikiambatana na HAKI. Alisema ukweli bila kupepesa macho.

Tumeona kwa Ndugai, Jenista, Lukuvi..... raia hawana habari, ndo kwanza 'wanaongeza maombi' target iongezeke! Na cha kushangaza eti wanakamata wanaosherekea badala ya kusafisha uchafu wao!

Mnadhani mtaliliwa kama Bwege au raia watakuwa na mwezi mzima wa kusherekea? Wabubujikwe na machozi ya furaha kwa hisani ya Lucas Mwashambwa na binamu yake Tlaatlaah.
Vicheko vyao au vilio vyao vinamsaidia nini marehemu?!!!
Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, hana tabu na mtu.....mpo huru kucheka mpaka mpatwe na kiki siku yake ikifika Wala halimsumbui hilo.
 
Siku huyo bibi akikata moto natoa ahadi nitachinja ng'ombe na kuandaa tafrija kubwa sana.
Kwakuwa ni binadamu basi itafika tu siku yake, Wala usiwe na shaka. Mi nakushauri andaa ng'ombe kama kumi hivi Ili nafsi Yako ifurahi vizuri. Nisichokijua tu nani ataanza, maana wewe pia una siku Yako kwa kuwa ni binadamu.
 
🤣🤣🤣 dogo unajiaibisha ujue? Bwege ni wa maana toka kitambo, unajua kwa nini? Hajawahi kuwa mnafiki! Kwake nyeusi ilikuwa nyeusi, nyeupe ilikuwa nyeupe, akiona sehemu haimfai anaenda anakoona kunaendana na misimamo ya kupigania haki na uchangamfu wake tu umemfanya apendwe toka zamani

Bwege anatamba toka Tunaanza Upyaaaaaaaaaaa.... We Ulisikia wapi😂😂.... We ulisikia wapi kuwa tunamchukia Bwege unlike huyo mama yenu na genge lake waliozungukwa na damu. Akawachenga Watanzania na kuonyesha yeye ni mnyama kuliko mtangulizi wake🌚
Kama umeyaweka mapwala Yako ya kipunga hapo ukiamini kuwa ni Samia aliyeamuru uhalibifu wa nchi ukomeshwe basi umechelewa sana, ile ni system......haiwezi kukuacha ulisambaratishe taifa kwa matakwa ya mabwana zenu. Subiri atoke Samia, aingie unayemtaka halafu muitishe maandamano ya vurugu uangamizaji wa nchi kama vile uone kama ni Samia au la.
 
Wakuu,

Katika vifo vya viongozi vilivyotokea hivi karibuni comment sections mtandaoni zilikuwa zimesheheni furaha ya Wananchi huku wakishikuru kwa 'kidogo' walichopewa. Hii imekuwa tofauti kwa Bwege.

Wananchi wameonyesha uchungu wao kwa kumpoteza mwanasiasa huyu, akisiwa kwa kusimamia kweli ya HAKI, sio amani tu bali AMANI ikiambatana na HAKI. Alisema ukweli bila kupepesa macho.

Tumeona kwa Ndugai, Jenista, Lukuvi..... raia hawana habari, ndo kwanza 'wanaongeza maombi' target iongezeke! Na cha kushangaza eti wanakamata wanaosherekea badala ya kusafisha uchafu wao!

Mnadhani mtaliliwa kama Bwege au raia watakuwa na mwezi mzima wa kusherekea? Wabubujikwe na machozi ya furaha kwa hisani ya Lucas Mwashambwa na binamu yake Tlaatlaah.
Akifa Samia mimi nitafanya sherehe wazi wazi bila kificho.Nchi kuondokewa na subiani ni jambo la kushukuru Mungu
 
Back
Top Bottom