Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara.
Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi, mtahakikisha wanapigwa ikiwezekana kumiminiwa risasi za moto!
Wamekubali hilo, sasa wanatoa maoni yao kuhusiana na mstakabali wa nchi yao, asilimia kubwa ya watanzania, wanataka mkataba uwepo ila kuna vipengele kwenye huo mkataba zirekebushwe na ama kufutwa, napo hamtaki kuchukua maoni yao!
Kwa hiyo mnadhani ni nini haki ya mwananchi katika nchi yake?
Wakiwatukana kwa sababu ya wao kujiona ni mapanzi katika nchi yao wenyewe, mnatawatafuta ili ikiwezekana wapotezwe, yaani kila haki yao mnaizuia, hamtaki waandamane kupinga kile wanadhani si sawa, hamtaki pia hata kuchukua maoni yao. Nyinyi ni watanzania wa aina gani?
Mnataka wafanye nini ili nyie mjisikie kuwa ni viongozi wao na pia nanyi ni watanzania kama walivyo wao na kwamba hata hayo madaraka mliyonayo, yamekwisha kuwa na watanzania wengine nao wakapita na sasa mpo nyinyi na mtayaacha?
Kuwa kiongozi si kwamba unaakili kuliko waliokuweka, hapana!
Ni vizuri maoni ya wananchi yasipuuzwe, kwa pamoja tunaijenga Tanzania