Rais Samia na Watanzania naomba mpitie hapa ili Tanzania ipae kiuchumi

Nafasi za Mkuu wa Mkoa na Wilaya ziondolewe ni ufujaji wa pesa za walipa kodo. Wilaya imoja iko chini ya RC, RAS, DC, DAS, DED, Mwenyekiti wa Halmashauri! Hawa ni watu wengi sana.
 
Wabunge wa viti maalum na wa kuteuliwa waondolewe pia.Wabunge wote wawe waliocgaguliwa kwa kura za wananchi wa jimbo.
 
Tatizo ni hao wanasiasa tuliowapa dhamana ya kutuongoza,hawana nia ya dhati ya kuifanya nchi kusonga mbele,wapo kwa maslahi yao tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa sisomi story ndefu ila hii imenuvutia. Mawazo yako ni mazuri sana, ila kinachotugharimu ni CCM iliyojaa watu wasio na upeo wa kuchanganua mambo. Kunawabunge wa Stnrd 7, kuna wenye PhD lkn hawana kitu km aliyewahi kujiita field marshal, so wakiangalia mawazo km haya wanayananga. Utawaona tu kwenye huu uzi. Zaidi ya hapo katiba mpya sahau kutokana na sababu nilizotaja hapo juu na kujali matumbo yao.
 
Kijana story yako nzima inaonesha kuna elements za kawivu wivu hivi.

Sasa hatuwezi kuchukua story kama hii tukampa Rais.

Vipi khumbu baada ya kifo chake ulienda kuhani familia?

Khumbu alikuwa na makalio ya kuning'inia hivi ( hahahaha)
Kama huyu bwana anaweza kuwa moja ya watu wenye upeo mdogo sana ndo maana ya comment km hizi, akisikia katiba mpya unatamani kwenda msalani
 
Nafasi za Mkuu wa Mkoa na Wilaya ziondolewe ni ufujaji wa pesa za walipa kodo. Wilaya imoja iko chini ya RC, RAS, DC, DAS, DED, Mwenyekiti wa Halmashauri! Hawa ni watu wengi sana.
Wazo zuri mkuu. Nadhani umetaja hii point kwa sababu hizo nafasi zinatumia hela nyingi na hiyo hela ingesaidia kwa ajili miradi mingine ya kimaendeleo. Labda nikuulizwe swali moja. Hivi kazi za RC, RAS, DC, DAS, DED ni nini?
 
Excellent........!
 
Kila ninavyozidi kusoma naona jinsi ulivyojaribu kupinpoint our failures kama nchi so painful.otherwice nice paperwork
Hatujachelewa mkuu. Tanzania itaendelea kuwepo miaka na miaka. Tukiamua tunaweza kufika mbali kama nchi.
 
Kwa hiyo tufanye nini mkuu? Tujikalie tu tuendelee kuwa wasindikizaji wa mataifa ya magharibi?
Tungekuwa na ujeuri wa kuandamana tungeandamana nchi nzima kudai katiba mpya ipitishwe,tungeisimamisha nchi kwa siku/ wiki kadhaa kuwashinikiza watawala wasikilize kilio chetu cha muda mrefu kuhusu katiba mpya.nadhani hili ni la kwanza muhimu kwa raia wa nchi hii.

Badala yake sasa...sisi tunajali sana maendeleo binafsi kuliko maendeleo ya nchi yetu.
Mtu ukiwa na nyumba,gari na kasehemu ka kukupa uhakika wa kula na kusomesha watoto basi...hayo mengine tunawaachia wanasiasa.wa Tanzania hatuna ujasiri wa dhati pia katika kuipigisha hatua nchi yetu.na sisi pia wabinafsi kama viongozi wetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[/color=black]Matter of countrymen intellegent,Mtoa mada ameandika jambo zuri sana as a layman, pengine kuliko hata wasomi wanaojiita nguli wa mlimani.[/c][/color]
 
Mimi niliwaza kitu kidogo ni km mfano wa viongozi wetu kuwa na upeo hafifu, waliunganisha mifuko yote ya Pension, aa tukasema labda kunajambo wameliona, wakaenda mbali ya hapo kulazimisha mfuko wa kujiunga km umeajiliwa na private NSSF km serikali na taasisi zake PSSSF, matokeo yake no competition, hakuna tena benefits, na wateja wanajibiwa lugha hovyo maana wanajua hata ukienda u have no negative impact. Basi wangeaacha ifuko miwili lkn watu wawehuru kuchagua ingeongeza competition. Sasa kwa viongozi wenye mitazamo kama hiyo hawarudishi kokote.
 
Sheria ya hii mifuko inaumiza sana. Indirectly hii sheria inachochea umasikini.
 
Hii nchi haiwezi kuendelea hata siku moja kama hatutaboresha elimu yetu,hayo ya katiba sijui nini nikupotezeana muda tu
 
Hii nchi haiwezi kuendelea hata siku moja kama hatutaboresha elimu yetu,hayo ya katiba sijui nini nikupotezeana muda tu
Unadhani elimu itaboreshwa vipi kama hakuna sheria za kuwabana hawa waliopewa dhamana ya kusimamia elimu?
 
Dada kwani enzi za ukoloni ulikuwepo..
Umeandika kuwa "unakumbuka enzi ya ukoloni"
 
Kazi za RC na DC ni kuhakisha ilani ya CCM ya uchaguzi inatekelezwa na wanaitwa ni wenyeviti wa kamati za ulinzi za usalama za mkoa na wilaya. Haya majukumu yote yanaweza kuhamishiwa na kufanywa na RAS, DAS, RPC, OCD na maafisa usalama wa mikoa na wilaya.

Vyeo vya RC na DC ni vya kufutwa ni ufujaji mkubwa wa pesa za walipa kodi wanyonge.
Wazo zuri mkuu. Nadhani umetaja hii point kwa sababu hizo nafasi zinatumia hela nyingi na hiyo hela ingesaidia kwa ajili miradi mingine ya kimaendeleo. Labda nikuulizwe swali moja. Hivi kazi za RC, RAS, DC, DAS, DED ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…