konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
- Thread starter
- #81
Basi sawa mkuu. Acha tufanye uko sahihi.Sasa huu utum.bo ulioandika hapa ndio uwekwe kwenye katiba??
Basi sawa mkuu. Acha tufanye uko sahihi.Sasa huu utum.bo ulioandika hapa ndio uwekwe kwenye katiba??
Tuwekeze kwenye elimu. Vizazi vijavyo vitakuwa na wanajeshi na polisi ambao watakuwa ni waelewa hivyo sheria nzuri litakuwa ni hitaji la kila kada.Wewe kama unataka kuongoza, sawa. Ila CCM malengo yake ni kutawala hata kwa mtutu wa bunduki ikibidi. Hivyo ili kuirudisha nchi kwenye uongozi jadidi, nilazima utumie nguvu za kijeshi kuishinda CCM ndo ulete hayo mabadiliko yavkiuongozi.
Nguvu za kijeshi haziepukiki kwa hapa tulipo fikia.
Sanduku la kura limesha thbitika kushindwa mbele ya watawala wenyeuchu kama hawa.
Mabdiliko yoyote ya kikatiba wanayadhibiti kijeshi, hakuna pa kutokea mdigoangu!!!