Wewe kama unataka kuongoza, sawa. Ila CCM malengo yake ni kutawala hata kwa mtutu wa bunduki ikibidi. Hivyo ili kuirudisha nchi kwenye uongozi jadidi, nilazima utumie nguvu za kijeshi kuishinda CCM ndo ulete hayo mabadiliko yavkiuongozi.
Nguvu za kijeshi haziepukiki kwa hapa tulipo fikia.
Sanduku la kura limesha thbitika kushindwa mbele ya watawala wenyeuchu kama hawa.
Mabdiliko yoyote ya kikatiba wanayadhibiti kijeshi, hakuna pa kutokea mdigoangu!!!