GE2025 Rais Samia na Watu wake , hawana Mamlaka Tena ya kuliponya Taifa dhidi ya haya yanayoendelea Nchini !!

GE2025 Rais Samia na Watu wake , hawana Mamlaka Tena ya kuliponya Taifa dhidi ya haya yanayoendelea Nchini !!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hawezi Kaa Mezani na Upinzani zaidi ya vibaraka wake wa ACT na CHAUMA.

Hawezi Kukaa na TEC

Hawezi Kukaa na Viongozi wa Dini wa Kikristo

Hawezi Kukaa na Jumuiya za Kimataifa

Hawezi Kukaa na Taasisi za Haki za Binadamu Ndani ya Nchi

Hawezi Kukaa na Wananchi, Tena Hawa ndo kabisa wamemnyima Kibali kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anajishtukia, anajua bila Kuwasomba watu na Hela, na t-shirt na kofia na kanga na Ahadi za Elfu Hamsini Hamsini bila Wasaniii, Mikutano yake ya hadhara ingekua myeupe !!.

Sasa swali ni, Nani wakulieta Taifa Pamoja???.

Nani aliponye Taifa ?.

Ukweli ni kua, Maisha ya Kisiasa ya Hili GENGE, yanahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Uuaji !!.
 
Kwa namna yoyote Ile iwavyo, wanajua lazima Tutawashitaki, Lazima tutawafunga na wakunyongwa, tutawanyonga.
 
Kwa kweli amekosa hekima kabisa. Angekuwa na hekima japo kidogo, asingejihangaisha na kutaka kuendelea, angeishia hapo hapo pa kumalizia nafasi ya aliyekuwa boss wake.

Lakini kwa sababu amejawa na tamaa, na amekosa mshauri yeyote mwenye hekima, wanaotaka kumtumia wanataka aendelee ili wao waendelee na uovu wao. Sasa kitakachotokea, kipindi chake hiki cha pili utawala wake utakuwa ni wa aibu tupu, na utakaochikiwa ndani na nje. Ataharibu mambo mengi, atatengwa na kila mwenye akili timamu.
 
Kila jambo lenye mwanzo, lina mwisho wake pia. Muda ni rafiki mzuri.
 
Hawezi Kaa Mezani na Upinzani zaidi ya vibaraka wake wa ACT na CHAUMA.

Hawezi Kukaa na TEC

Hawezi Kukaa na Viongozi wa Dini wa Kikristo

Hawezi Kukaa na Jumuiya za Kimataifa

Hawezi Kukaa na Taasisi za Haki za Binadamu Ndani ya Nchi

Hawezi Kukaa na Wananchi, Tena Hawa ndo kabisa wamemnyima Kibali kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anajishtukia, anajua bila Kuwasomba watu na Hela, na t-shirt na kofia na kanga na Ahadi za Elfu Hamsini Hamsini bila Wasaniii, Mikutano yake ya hadhara ingekua myeupe !!.

Sasa swali ni, Nani wakulieta Taifa Pamoja???.

Nani aliponye Taifa ?.

Ukweli ni kua, Maisha ya Kisiasa ya Hili GENGE, yanahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Uuaji !!.
We endelea tu kulalamika huku wengine maisha yanaendelea hawaoni ht unacholalamikia. We kutwa kucha unawaza umbeya tu. Kalagha baho!!
 
Back
Top Bottom