Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena.
Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Bado!!
Asante mama!