Sisi ambao sio washabiki wa vyama bali washabiki wa nchi “ Independent “ tunapata wakati mgumu maana kuna wakati tunamtetea Raisi na wakati tunampinga kwa hoja. Lakini wengi wetu na mimi binafsi nimekuwa namuunga mkono sana Raisi Samia kwenye mambo mengi na kumpinga kwenye mambo machache.
Naunga mkono haya kwa ufupi
1. Kukubali mchakato wa katiba uanze
2. Kubadilisha mwenendo wa mahakama, Polisi na magereza
3. Kuaangalia mfumo mpya wa elimu
4. Sera za kilimo zote
Napinga haya
1. Mkataba wa bandari unahitaji marekebisho
2. Raisi anaogopa katiba nashauri asiogope
3. Kucheleweshwa kwa sera ya diaspora inarudisha maendeleo nyuma
4. Waziri wetu kama Fedha inabidi abadilishwe na kuweka mtu kama Dr Kimei
5. Hakuna ukali kwenye rushwa
Naomba sana Raisi utusikilize maana hivi karibuni naona wakina Lissu wamekupa pressure sasa unakuwa kama huna mwelekeo mfano swala la elimu ya katiba ni kichekesho fanya vitu kwa tija katiba sio ya chama ni ya watu wote