Rais Samia nakupa pongezi kwa hizi Nyumba Kawe

Rais Samia nakupa pongezi kwa hizi Nyumba Kawe

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
SAMIA HOUSING SCHEME

Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
Screenshot_20250122-171228_1737555188858.jpg
 
Ulianza wakati wa kikwete baadae ukasimamishwa wakati wa Magufuli na Mama akauendeleza

Huu mradi walipewa tenda Kampuni inaitwa Istim
Wacheni upuuzi,kina miradi hapo Kawe ya enzi ya JK ambayo ilikwam awamu ya 5,,Mama ameififua na anamalizia inaitwa 7/11

View: https://www.instagram.com/p/DDrUoU3NG8k/?igsh=MXczZmN0dzIzMHducA==

Huu ni.mradi Mpya kabisa wa nyumba 5,000 unajengwa Mikoa yote hasa Dar na Dom unaitwa Samia Housing Scheme 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DEhYz9CMlX4/?igsh=MWt3Y2MydmF4Y2thMg==
 
SAMIA HOUSING SCHEME

Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Mradi mwingine huu hapa ambao ulikwama awamu ya Magufuli na Samia ameufufua na uko mwishoni 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DDrUoU3NG8k/?igsh=MXczZmN0dzIzMHducA==

View: https://www.instagram.com/p/DEiidbvsaA4/?igsh=MXhwejF2bDFreWZ4NA==
 
🚮🚮🚮🚮 Hii ,,Uliwahi ona wapi yule mtu wenu anashughulika na majengo? Au unadhani ni Magomeni Kota hiyo?
Magufuli alikua ana dili na vitu vya Kimataifa kama Madaraja makubwa.treni za umeme mabwawa ya umeme, Yule alikua Raisi ndiyo maana alikua aendi nchi za watu bila kupata muhariko kutoka kwa Raisi, tofauti na sasa ata Meya wa Comoros anaweza kumpa muhariko Raisi Watanzania na Raisi akaenda.
 
SAMIA HOUSING SCHEME

Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Huo ni uchawa mtupu, kwani hizo nyumba zinajengwa kwa pesa binafsi za mama Abdul?
 
Back
Top Bottom