Rais Samia nakupa pongezi kwa hizi Nyumba Kawe

Rais Samia nakupa pongezi kwa hizi Nyumba Kawe

Kwanini umpongeze Samia as an individual? Tanzania tunatatizo kubwa sana la kupenda ku personalize mambo? Nadhani pongezi ungetoa kwa serikali ingeleteta maana zaidi.
Wewe nae ni mjinga sana , hujawahi sikia The Biden Administration au Kwa Sasa husikiii maana ya Trump Administration? Au wanaita POTUS? Kwa nini wamtaje yeye as individual?

Mzee hata uchukie vipi ila namba za Samia zinambeba na huyo ndio anabeba chama kama huko kwenye Vyama vyenu kina Lisu nk wanavyobeba chama.So tunatekeleza dhamira na maono ya Rais sanjali na ilani plus Dira ya Nchi.
 
Mradi wa Magu huu. Ulianza toka Magu yupo Hai. Mama afanye kitu kipya, msimpe sifa zisizomuhusu.
🚮🚮 Nyingine hii,yule mtu wenu uliwahi ona au kusikia wapi anashughulika na majengo?

In fact NHC ilikufa awamu yake
 
1737611908066.png

Bei zake ndio hizo hapo, kazi kwenu
 
Punguza ujinga,shuleni hamkusoma Uraia na Civics au General Studies ama Development Studies Hadi uniukize maswali ya kijinga? Maana hayo masomo ni lazima Hadi Chuo Kikuu.

By the way kazi ya Bunge ni kutunga sheria ,kuidhinisha mipango ya Nchi ikiwemo Bajeti zilizoletwa na Serikali pamoja na kusimamia utekelezaji.

So Serikali ndio Iko responsible kuleta majawabu yawe ya Barabara,shule,maji,nk..

Nasisitiza namba za Samia sio za kutafutiza hakuna Rais mwingine yeyote aliyemtangulia anaweza mpita Kwa delivery kwenye sekta zote.

Viwanja tuu vya ndege zaidi ya 8 viko under construction na vile alivyorithi amekamilisha👇👇

View: https://x.com/WizarayaUC/status/1882157671429943357?t=sNKC-4HamVShldP8T1vMhQ&s=19

Kimbunga kimeyumbisha dishi, tungoje upepo utlie ili tuelewane.
 
Wewe nae ni mjinga sana , hujawahi sikia The Biden Administration au Kwa Sasa husikiii maana ya Trump Administration? Au wanaita POTUS? Kwa nini wamtaje yeye as individual?

Mzee hata uchukie vipi ila namba za Samia zinambeba na huyo ndio anabeba chama kama huko kwenye Vyama vyenu kina Lisu nk wanavyobeba chama.So tunatekeleza dhamira na maono ya Rais sanjali na ilani plus Dira ya Nchi.
Unaelewa nini wanaposema Biden Adninistration? Does that mean Biden as an individual? Based on that ungesema unapongeza serikali ya mama Samia nasio kumpongeza Samia of which imekaa kichawa zaidi
 
Unaelewa nini wanaposema Biden Adninistration? Does that mean Biden as an individual? Based on that ungesema unapongeza serikali ya mama Samia nasio kumpongeza Samia of which imekaa kichawa zaidi
Hata hapa Tanzania wakisema Utawala wa Samia au Samia amefanya A au B doesn't mean yeye as an individual ila Kwa kuwa ndio Kiongozi wa Jeshi lazima sifa azibebe kama anavyobebeshwa lawama.

Kwamba lawama mnataka abebe ila sifa njema hamtaki 😂😂😂😂😂
 
Ni Miradi ya Kikwete hiyo kwa ajili ya Mafisadi wachache serikalini na Wafanyabiashara.
Kwa hiyo Kikwete ndio anamiliki NHC na ndio anajenga?

Kikwete ndio anaishi pale Kawe si ndio?

Matakataka kama nyie mna shida sana kichwani na in most cases ni maskini
 
Back
Top Bottom