Rais Samia nakupa pongezi kwa hizi Nyumba Kawe

Rais Samia nakupa pongezi kwa hizi Nyumba Kawe

Kwa hiyo Kikwete ndio anamiliki NHC na ndio anajenga?

Kikwete ndio anaishi pale Kawe si ndio?

Matakataka kama nyie mna shida sana kichwani na in most cases ni

Kwani Maza anajenga yeye...!?

Nachawa akili zenu mnaelewana wenyewe tu.
 
SAMIA HOUSING SCHEME

Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua za mwishoni.
View attachment 3210261
Yaani kujenga nyumba na lenyewe ni jambo la ajabu, tekinolojia ya nyumba, ni ya mwaka 1700! Kwani pesa zake? Sasa hv vigorofa unafikri vitatua shida ya makazi nchini? Hizo za biashara, na kama ni kapuku, hapo uingii!
Kuna mradi ulifanywa kule zenj, michenzani, na Karume(Baba), ule ndio mradi unaoweza kumsifia Rais, ule mradi serikali iliwapa wananchi nyumba kwa pesa, kiduchu! Aliujenga mwaka 1963! Mafanikio yake wameyakuta mpaka kizazi cha juzi 2000!
Kipindi hicho zenj, ni maskini! Lakini Rais wao alifanya vitu! Sasa Leo TZ na madini, manufacturing, gesi, unatujengea vijumba viwili hv! Makalio yanalia mbwata! Na, unatoa misifa kibaooooo! Pathetic
 
Nafikiri wangejenga nyumba kama za Katesh zile za maafa ingekuwa bora yaani ingekuwa bora kuliko magorofa
 
Ni affordable,kwako wewe Ili iwe affordable inatakiwa kuwa bei gani?
Kipimo cha affordability sio mimi au wewe...

Ni uwezo wa Mtanzania. Hata kwa mortage ya miaka 15, malipo kwa mwezi ni karibu 1.4m, mfanyakazi wa serikali mwadilifu hatoboi hapa. Waseme tu ni nyumba za Mama Samia.
 
Magufuli alijenga Magomeni kwa Samia amna jipya.
Wacha kuropoka wewe mbuzi.

Usiringanishe mradi wa nyumba 5,000 wa zaidi ya Bilioni 400 na kota 5 ambazo hata bil.10 hazijafika.

Harafu Samia hajengi huu pekee ,ipo mingine kibao inaendelea
 
Back
Top Bottom